IQNA – Maqari maarufu wa Qur'ani kutoka Iran, Hamed Shakernejad na Ahmad Abolqassemi, wanatarajiwa kushiriki katika moja ya vikao vikubwa zaidi vya Qur'ani Tukufu katika Msikiti mashuhuri wa Istiqlal, Indonesia.
                Habari ID: 3480370               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/03/14
            
                        
        
        IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 7 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqari wafuatao kutoka Iran: Mahdi Qarasheikhlu, Masoud Nouri, Hossein Fardi, and Saeed Parvizi.
                Habari ID: 3480325               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/03/08
            
                        
        
        IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 5 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na qarii maarufu wa Iran Ustadh Ahmad Abolghasemi. Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.
                Habari ID: 3480313               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/03/06
            
                        
        
        IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 2 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqarii wanne maarufu wa Iran ambao ni: Saeed Parvizi, Hossein Fardi, Mahdi Gholamnejad, na Jafar Fardi. Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja  mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.
                Habari ID: 3480298               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/03/03
            
                        Qarii Mashuhuri
        
        IQNA – Wizara ya Wakfu ya Misri imemuenzi qari maarufu Sheikh Mustafa Ismail katika kumbukumbu ya kifo chake.
                Habari ID: 3479970               Tarehe ya kuchapishwa            : 2024/12/29
            
                        
        
        IQNA - Abdul Basit Abdul Samad alikuwa qari mashuhuri ambaye alianzisha mtindo wake ya usomaji wa Qur'ani Tukufu  na kuwatia moyo wale wanaoipenda Qur'ani duniani kote.
                Habari ID: 3479833               Tarehe ya kuchapishwa            : 2024/12/01
            
                        Qur'ani Tukufu
        
        IQNA - Visomo vya kale vya Qur'ani Tukufu vinaweza kuwa muhimu kuwasilisha ujumbe aya za Mwenyezi Mungu, mtafiti mmoja amebaini.
                Habari ID: 3479826               Tarehe ya kuchapishwa            : 2024/11/30
            
                        
        
        IQNA - Video ya mtu akisoma Qur'ani Tukufu katika duka la sandwichi katika mtaa wa Times Square mjini New York City licha ya kutozwa faini ya $50 imevutia watu wengi kwenye mitandao ya kijamii.
                Habari ID: 3479606               Tarehe ya kuchapishwa            : 2024/10/17
            
                        Qiraa ya Peponi
        
        IQNA – Kinachofuata ni kisomo cha kuvutia cha baadhi ya aya za  Surah Al-Ahzam cha marehemu qari wa maarufu wa Misri Sheikh Abdul-Basit Abdus-Samad
                Habari ID: 3478965               Tarehe ya kuchapishwa            : 2024/06/11
            
                        
        
        IQNA - Qari wa Iran Arash Souri alisoma aya ya 27-30 ya Surah Fajr alipokuwa amesimama karibu na Kaaba Tukufu, huko Makka, mwishoni mwa Mei 2024.
                Habari ID: 3478916               Tarehe ya kuchapishwa            : 2024/06/02
            
                        Qiraa ya Qur'ani Tukufu
        
        IQNA – Qari wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Seyed Parsa Angoshtan katika klipu hii anasoma aya za 21-24 za Surah Al-Ahzab.
                Habari ID: 3478770               Tarehe ya kuchapishwa            : 2024/05/04
            
                        Mwezi wa Ramadhani
        
        IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu  ya kwanza ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
                Habari ID: 3478493               Tarehe ya kuchapishwa            : 2024/03/12
            
                        Qiraa ya Qur'ani Tukufu
        
        TEHRAN (IQNA) – Osama al-Zahri al-Balushi, ni qari kijana huko Oman, na qiraa yake ya Qur'ani Tukufu  katika sala ya jamaa imesambaa katika mitandao ya kijamii.
                Habari ID: 3476289               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/12/22
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni katika mitandao ya kijamii kumesambaa klipu ya qiraa ya Qur'ani Tukufu ya vijana sita kutoka nchi mbali mbali za Kiislamu.
                Habari ID: 3476203               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/12/06
            
                        Usomaji Qur'ani au Qiraa
        
        TEHRAN (IQNA)- Sheikh Kamil Yusuf al Bahtimi ni moja kati ya wasomaji maarufu wa Qur'ani Tukufu nchini Misri.
                Habari ID: 3476084               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/11/13